Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
🤣🤣🤣🤣Hawezi kukubali yule
Akubali akufweeeeee
🤣🤣🤣🤣Hawezi kukubali yule
Hawa madogo wanakuwa na bisibisi mfukoni..Dogo tuje tumpasue tu😂😂
Ataleta balaa humu🤣🤣🤣🤣
Akubali akufweeeeee
shemeji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawezi kukubali yule
Sema ampe tu salam zetuAtaleta balaa humu
watu watajinyongaaaAtaleta balaa humu
nitamwambia mnamchekaSema ampe tu salam zetu
Kwamba sisi sio watu wabaya😅Sema ampe tu salam zetu
Itakua taflanwatu watajinyongaaa
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 nazima sio muda mrefu
Mwamba yupo hapo hakuna shida😅🤣🤣 nazima sio muda mrefu
NakaziaMwamba yupo hapo hakuna shida😅
Ila jamaa kawezaje kumrudisha kwenye mstari?Nakazia
🤐nitamwambia mnamcheka
Atakua kaiba hela za branch akamspoil shost yangu, sio bureIla jamaa kawezaje kumrudisha kwenye mstari?
NImemvua vyeo vyoteAtakua kaiba hela za branch akamspoil shost yangu, sio bure
😂😂kabisa Nkamu halafu hata ningekua sina wadada au machine kufua na kucha ningeweza