Selfika na JF: Snap it. Show it


Vita sitaki miye, sumu usinitilie, kiti usinikalie utanitoa roho.

Babe sepa usinirudie, ukipenda njoo turudie , Bila pesa nitunukie🎢

Nikubalie kuwa namimi usiwe na mwingine,

Nikubalie nami niwe nawewe nisiwe na mwingine 🎢
=====================

Kuna baadhi ya nyimbo zinatukumbusha miaka ile ya Tabora Jazz, UDA Jazz, Sikinde and likes miaka ile ya 72πŸ€ͺ

Hata nikikaa na Wajukuu zangu naweza kusikiliza pasipo kusikia hata tusi moja limeimbwa πŸ€—

Nikubalie Song by Kassim Mganga

Hello Wednesday πŸ₯‚
 
Yess dear km uwezo upoo unafanyaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda uwe serious sana na mie
hizi za come you hit and go hapana aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .

heheeee uniache niwaze pesa , muda , na mawazo niloyokuwekea wahallah no
 
Labda uwe serious sana na mie
hizi za come you hit and go hapana aisee [emoji23][emoji23][emoji23] .

heheeee uniache niwaze pesa , muda , na mawazo niloyokuwekea wahallah no
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dear sikuwezii kwa kwelii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dear sikuwezii kwa kwelii.
Pesa yenyewe sina na hata nikiipata ina mambo mengi .

niache kudecorate napokaaa nifanye hayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tuwaachie hayo mambo wanawake wa kishua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…