Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,242
Ndio apo ndipo utakua haukai vizuri ishi vizuri na Tango ilo komwe liache lipate upepoMango?? Hahahaaa...
Kwakweli komwe linatakiwa lionekane π!
Wataka ya kujaa? Kiasi, fupi na rangi ama unataka muonekano gani mrembo?Nijie na metronidazole mjombaaa just in caseπ€£π€£ππ!!
Hahahaaa...! Asante mkuuChukua Tango kwakwerπ₯
Ndondo hawajatia mafuta ya taa kweli.Nisipoumwa tumbo leo sijuiiiiii![emoji119][emoji119]![emoji4]
Nishajizoelea Ugali ndondo mieee!!
Iyo sekta mie mtupuu shougaaangu kwa komwe Langu hili unaona lipi litanipendeza ??βΊοΈWataka ya kujaa? Kiasi, fupi na rangi ama unataka muonekano gani mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu natumia app picha sioni, wee nilishakuambia unyoeee.cocastic Aaliyyah Bantu Lady Kapachino National Anthem Nisuke lipii??? Hapo ndio saluni ya kata nzimaaa[emoji3]
[emoji13]
Bon Voyage Wige
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!Ndondo hawajatia mafuta ya taa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suka Tango, maandalizi ya likizo siyo mchezo ππππππ. Atakayekusuka akusuke kama huyo, ili komwe lifichwe ππππIyo sekta mie mtupuu shougaaangu kwa komwe Langu hili unaona lipinlitanipendeza ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii msiwafanyie hivyo watoto wa watu, hapo O level wasichanaa wapoo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Wanafunzi ndio wanaekewaaa kerosiniii[emoji23]
Sawa kipenzi asantee!! Nitamwambia msusi ajitahidi kulificha kwakweli!Suka Tango, maandalizi ya likizo siyo mchezo ππππππ. Atakayekusuka akusuke kama huyo, ili komwe lifichwe ππππ
Kakaake
Wamekuwa jau hao siku hizi ππ
YebhoooKakaake
Kusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!πNimeenda kusalimia nyumban
πππKusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!π
Mbona unanichamba kisomi ivyoKusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!π