Usijareee mkuu!!Uni tag ,nisipitwe
Umetokea wapi we mtuπ€£π€£π€£Lenie mshamba_hachekwi ππππππ
Imekuaje umeachiliwa siku 2 akati ban ni ya miezi miwili??πππ udugu waliniwasha
Eti cha miezi miwili
Yesuuu ningewezea wapi mie
Weee ππUmetokea wapi we mtuπ€£π€£π€£
Nilikumisi jamaniππWeee ππ
Si unanijua venye navyojua kulia
Nimelia huko wee mpk nimeonewa huruma
Wee eti banned miezi miwili nyie jamani πππππnimelia sana janaπ
Miss u too bebe, uhali gani? Baridi ya jana vipi?Nilikumisi jamaniππ
Mtoto mlito πView attachment 2640094Tuesday π
Pretty fine babe, howβs you? Ilikuwa balaaπMiss u too bebe, uhali gani? Baridi ya jana vipi?
Morning Sumbai. Za wewe?
Nimeku bless na kapichaπMtoto mlito π
Dem lips for ππππ
Ila jana ππ€£ utadhani tulikuwa UlayaPretty fine babe, howβs you? Ilikuwa balaaπ
Kanaitwa kapicha ka welcome back πππ₯³Nimeku bless na kapichaπ
Vibaya mnoπIla jana ππ€£ utadhani tulikuwa Ulaya
Me niko safi, niliwamiss π
Ashukuriwe mod aliyeniachia
@KapachinoView attachment 2640094Tuesday [emoji7]
I am back na nguvu za ziada πWee eti banned miezi miwili nyie jamani πππππ
Sawa tuna maisha nje na jf lakini jf is a medicine somehow. Woi
πππ mwambie aje niko huruVibaya mnoπ
Nikasema ndio basi tena hakuna wa kumuonea mshamba hachekwiπ
Simuoni tangu janaππππ mwambie aje niko huru
Tena waje na selfie wako shambani kwenye parachichi na mwenzake Mwachiluwi
Wangekupiga kwanza ban ya mwezi, ndio ushike adabuπWeee ππ
Si unanijua venye navyojua kulia
Nimelia huko wee mpk nimeonewa huruma