Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoma huwa naikubali sanaa
Jamaa yupo vizuri sana kwenye aina ya mziki wake, Kwa mbali ana sikika kama Walter Chilambo and likes, ila nimegundua naye huenda ni Mnyaki wa Mbeya.

Kuna wimbo nimesikia mwishoni anaimba maneno ya Kinyaki.

Ikiwa Kwelibasi Mbeya itakuwa imeteka mziki wa Gospel πŸ™Œ
Tusishangae siku moja Saint Anne naye akawa anatuuzia Album zake za Gospel in future πŸ™Œ
 
Ukikuwa utaacha πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚! USM ALGER Katukaliajee kooni wana πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’š utadhani tumemuharibia kitumbua chakee walai mbona tunalooooπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…