Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyumba zinakuwa na heating system...movements zinakuwa chache...

Lakini all in all tayari wanakuwa wameadapt (natural adaptation), hata baiolojia ya O level utakuwa ulisoma kidogo hii...

mfano wa Bongo ni kama ukifika Makambako au Mufindi au Njombe au Uporoto au Soni ambapo ni full kipupwe muda wote wa mwaka...
Russia kuna baridi si la kawaida... Sijui watu wanaweza vipi kuishi sehemu kama hiiView attachment 1272530
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…