Mwambie huyu kizuri ale na wenzakeWaniache mtoto jamani😂
Mwambie huyu kizuri ale na wenzakeWaniache mtoto jamani😂
Ipo humu mzee sio kwamba nimeisavenyeto zitakuua mzee😀
Nivikute kwenye gift package kabisa😂💕 niringishie watu nimepewa zawadiijia hapa majengo 😁
Niliifuta lakiniIpo humu mzee sio kwamba nimeisave
huyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣😅😅 Mie simo kwanza nimeona bahati mbaya tuu.. sio mambo yangu hayooo
Humu single peke yangu tu.. duh 😅😅hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home
Naelewa, ongeza kg na mimi nakuja😂hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home
Utanitoa KO asubuhiiiMimi nakula kilo2 peke yangu. Ngoja siku nikiwa huko nitakwambia uje tushindane.
🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa juaHumu single peke yangu tu.. duh 😅😅
😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunzahuyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣
pilipili kwa mbali
njoo tu 😀 upo wa kutoshaNaelewa, ongeza kg na mimi nakuja😂
😅😅 ndio maana ana color flani hivi amazing sana🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua
aaah weee 🤣 na Peterrabbit andai yeye ni mjomba wake😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunza
Unapenda nini sasa. Kinywaji ganiUtanitoa KO asubuhiii
Mimi nyama nyingi nachoka kutafuna
Hii weekend hii😂Niko hapa Valentina 😂 namsubiri nanii tuje View attachment 2636591
Gily bwana wewe😂🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua
Mi mwenyewe sielewi ila watu wengi humu naona picha zao hatakama wakifuta kama una mtu aliquote.....Niliifuta lakini
Umeanza mambo yako😂 peace is not an option🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua