Kumbe na wewe ni kama yeye tu, mwambie sio poa ni akili za usiku tu, asi panicbest yupi huyo
maana sijui kama ninaye πππ
Uswahilini huku geti litoke wapiDakika 2 mbali niko hapo getini, fungua
Nipoo nyumaaa yakooo πππ ukilala nakaa ubavuneee ,See you when you see me πΆπ»ββοΈβοΈβοΈβοΈ!
Kwa hiyo nikifika tu nizameUswahilini huku geti litoke wapi
πππKumbe na wewe ni kama yeye tu, mwambie sio poa ni akili za usiku tu, asi panic
Zama tu hadi ndaniKwa hiyo nikifika tu nizame
Nakuja na hao wodogo zangu wawili, andaa karotiZama tu hadi ndani
Usije bila zawadi
πππ
mnanichekesha jamani , nitamwambia ..
na cabbage piaNakuja na hao wodogo zangu wawili, andaa karoti
na cabbage pia
na matembele pia yapo
, ni wao tu kujisevia .
Tuanze kwanza kwenye zawadi niipate kwanza ππ .Mpange maana sikumwelewa siku ile, ukifanikisha zawadi yako ipo.
Tuanze kwanza kwenye zawadi niipate kwanza ππ .
haya sasa .....Nikikupa zawadi unaweza usimleteπ , niletee kwanza nimemmis sana. Zawadi yako ipo uzuri unanijua mbona siku ile nilikupa.
haya sasa .....
Consider it done eehFanya hivyo, mwambie asiwe na moyo wa barafu. Mimi ni mtu mwema sana
Poa. Ngoja nitoke kidogo, baadaeConsider it done eeh
Wapi hapa[emoji288]View attachment 2636306