The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,587
Mpira ni sehemu ya maisha ya kawaida ndio but kwa jicho lingine ni zaidi ya maisha, Wanasema mtu wa anaweza kua tayari kubadilisha dini, kubadilisha mke, kubadilisha jina lakini sio timu yake ya mpiraUnasikitika nn ss,kwa mpira n jambo la kawaida sanaa
Mnalala vipi saa 1. Au mkoo kwa mabeberuHata mimi nalala.
Pako kama maeneo flan hivi ya moshi.. Pazuri balaaMorogoro
Ahsante Sana binti.. be blessed too..
Neema zake Allah
Dah...imekaa kama MoshiRchuga
Hapana . Ni mwendo wa negatives tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maandishi yamewaponza wengi hapa jukwaani...
Maandishi ya busara kama uliondika ndio chimbuko la wachomoa betri jiefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachomoa betri wote wanasifa za kuandika maneno mazuri sana hapa jukwaani haswa kuwatetea wanawake,
Nani aliwaambia mlale mapema, tena zilikuwa hazina emoji wala ukungu...
Yes Anne..!!!
Hukuzisave jamani kaka??
Hapana sema jamaniiUtamu wake acha kabisa
Imefutika[emoji4]
Yeaah my beautiful girl Scarlet.. nampenda sauti yake. Wewe je?Awww halafu hiyo avatar sikuwa nimeiangalia vizuri,, kumbe ni Scarlett Johansson.. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
We mapaja yako yako wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]enhe unataka kusemaje labda??