Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Ajajahah dah nilikusahau udugu kukutag ungetoaNaomba huo uzi niukute kwa voice note
mdogo wangu huyajui maisha πAhhaah kutesa kwa zamu acheni umalaya tulieni
sina hela nimeshakubaliana na hali πAcha ujinga dogoπ tafuta hela wachumba wanakuja wenyewe.
Roboti wanguNaona hapo ndoto ndio zinachat
Bhna yeyye kajitakia kwanini aunue k kwa 2000?mdogo wangu huyajui maisha π
Sipajuiβ¦. Mshamba hachekwi ππkuna sehem ya kihindi inaitwa five chutneys ni balaa, sema sijui kama bado iko open
sounds great
Gily dogo anatuleta sijui anatuchukuliajeWatu tunapata mali safi kwa kuchunwa mpaka vuzi
Kwahiyo uzi umefutwa? πππ ulikuwa unahusu nini udugu wetuAjajahah dah nilikusahau udugu kukutag ungetoa
Ushaur ujawai kukosa ushaur ww
Hujaona nguo na viatu sasaNdio maana umepandishiwa nauli sio kwa hako kajicho. Mdada wa watu atakuwa bado anakukumbukaπ
Ah wapiAsikudanganye, tamu kama fanta mshamba_hachekwi Tinsley
Bora huyo akusimulieKwahiyo uzi umefutwa? πππ ulikuwa unahusu nini udugu wetu
Ndio nimekuonyesha π€£π€£Nilikuwa sijaonaπππππ
Bro Peterrabbit achana nayo hii please .inaitwa kaanga maini π
kumbe ni mla chipsi mlegevuhaha anajifanya ananyolewa vuzi π
π€£ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ upoje weweπ€£π€£π€£π€£π€£ Kanjibai
naujua moto wakeπAcha uongo ina tofauti gani na fantaπ