Wqna kitimoto safi balaaumeenda kwa ajili ya nyama au kujilipua π
hehee πππNibali na nini? Labda useme figo
afu unajua huu ujana usiposhiriki hizi mambo za nightlife unaonekana mshamba.... naogopa kupoteza marafikiπ’Wakaushie tu
kuwa kauzu tu hapo .
uendage andrews kuna nyama choma hatariπWqna kitimoto safi balaa
Hao sio marafiki wa kweli basi .afu unajua huu ujana usiposhiriki hizi mambo za nightlife unaonekana mshamba.... naogopa kupoteza marafikiπ’
whats your favouriteUnauliza swali ama jibu? πΊπ·β Zote ni drink
Napajua vizuri kabisa. Fav chimbo,. Ukiondoa nyama choma wana wali wao flani na rojo safiii. Makange pia amazinguendage andrews kuna nyama choma hatariπ
ngoja tumjue mshamba.... George's tavern umeenda?? πNapajua vizuri kabisa. Fav chimbo,. Ukiondoa nyama choma wana wali wao flani na rojo safiii. Makange pia amazing
Na kile kigiza cha kule zinapokaa kapoz ni fire, sema baridiii pale. Ila uzuri ukizidiwa unapewa blanket.
Dogo hapo mjini me nimepamaliza πππππ
inaharibu maisha yangu seriousπMisemo tu hiyoπ ponda mali mwanangu
Ndiyo mdada ndio maana sikubishana, nikampa hiyo 7 yake anayotaka.Lakini si mdada mwenzako, labda hakuwa na ya mafuta. π
Hao dawa unashika kabisa mkononi kama hataki unamruhusu. Wanaangalia mwonekano wako na mahali ulipo.
Vitu napendaga πππLenie ππ nitakukumbusha uichome nile kwa macho mieeView attachment 2635896
najitahidi sana.... ila kuna hizi withdrawal symptomsπHao sio marafiki wa kweli basi .
true friends should support each other no matter what .
mie kauzu sana kwanza hata marafiki wa kike sina ππ
i dont mind loosing friends maaana mimi ndo best friend mwenyewe wa maisha yangu .
i cheer myself , encourage myself and so many more . what im saying hapa ni self love . jipende mwenyewe zaidi .
πππMisemo tu hiyoπ ponda mali mwanangu
Haukua kawaida, au nipost picha hapa?Ndiyo mdada ndio maana sikubishana, nikampa hiyo 7 yake anayotaka.
Pale ni mgahawa tu wa kawaida, na mm mwenyewe nilikuwa kawaida π€ͺ
Try harder , ukizidiwa muombe roho mtakatifu akusaidie na kukupa nguvunajitahidi sana.... ila kuna hizi withdrawal symptomsπ
heehee unanishushua leo duhAmfate kwani unataka afe?? π Maana huwezi fika kwake bila kufa.
Umekataa kutoa ushaur kule mpaka uzi umefutwa ππHaukua kawaida, au nipost picha hapa?
Ulitokelezea sana, ndio maana akaashum we wa ushuani
wakishua πGrey Goose Vodka
anazingua anawekaje picha ya dyudyu lake jukwaaniπL
Umekataa kutoa ushaur kule mpaka uzi umefutwa ππ