Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wenyew tupo 2578 unakuta mm wa elf 2 nisipoomba wenzangu wataomba 🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣🀭🀭🀭
mbavoooo zanguuu hukuuuu Madam πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£!!
Foleni kama youtreee Alooooooohh!!!

Hebu nitoke hapaaa walai sitaki kesi za rejareja πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ

Usiku mwema wapendwaaaa!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndo ukweli
Nawe pia dear
 
Kuna nn huko πŸ˜€ mbona haya ya kwangu dear au hauamini nduguyako nipo kwenye foleni πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie kitu foleni ndio siwezagiiii kabessaaaaa mwenzioo nikiona dalili tu ya jam huyoo !! Yani dalili tyuuu ni sijiulizi mara mbiliπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Bora nipambane naharee yangu kwakweli!
 
Mie kitu foleni ndio siwezagiiii kabessaaaaa mwenzioo nikiona dalili tu ya jam huyoo !! Yani dalili tyuuuπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Bora nipambane naharee yangu kwakweli!
Foleni zinaua mapema ila si tunakuwa hatujui kipenz ukishtuka ni WA 456
Mwalimu soka Kuna nn huko dear mbona sijasikiaga hii
 
Oyaaaa wadau wa huu uzi kuweni Wastaarabu basi . Tuwapokee wageni wapya kwa ustaarabu basi. Mnamchomfanyia Inspire You sio haki kabisaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mdau selfika kwanza
 
Foleni zinaua mapema ila si tunakuwa hatujui kipenz ukishtuka ni WA 456
Mwalimu soka Kuna nn huko dear mbona sijasikiaga hii
Mie nina mambo yangu kibao yananichanganya akili kwakichwa foleni nazo zinichanganyee aseee haipigo hiooo!

Wee mbona asubuhi nilikutag kabisa ni story ya mauzauzaa anayofanyiwa mwalimu soka huko kijiji cha msisi wa msisiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…