Selfika na JF: Snap it. Show it

Umri huu sio rahisi Mjukuu🙌

Unaweza kuta unaomba isimame kuanzia Kimara mwisho lakini inaenda kusimama kituo cha Kwa Ndevu kule Tegeta 🙊🏃🏃🏃
Hapo tu ndio hamna ujanjaaa! Nahela zako zoteee 😁😁😁😁🤠🤠🤠🤠! Ndio uwege unakua na wanawake wanaoghughulikaa wanaojituma kuifanya isimame harakaa na ku last longer ka uvosema hapooo azawaizi hutafurahia pesa yakooo😁😁😁😂🤠
 
Hahaha...........Mimi nimebaki kushauri tu Vijana, mambo hayo Wazee hatuyawezi kabisa Mjukuu 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…