Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kuangalia hiyo mikunjo ya kwenye viganja vya mkono ?
 
Kwa kuangalia hiyo mikunjo ya kwenye viganja vya mkono ?
Ndiyo, ila nadhani kuna cha zaidi kinatazamwa kupitia hivyo viganja.

Nakumbuka first born wangu, Wazee walipofika tu wakaangalia viganja vya mtoto then wakasema huyu ni wa kwetu.

Nikajiuliza wamejuaje pasi kutumia vipimo vya maabara, wakanionesha njia hiyo πŸ™Œ
 
Nina sura la mshangazi, sio kisura

We wakwetu kabisa ndioo

Asante kwa maneno ya faraja ndugu yangu😍
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hapana sio maneno ya faraja wewe ni kazi ya uumbaji wa Mungu ni lazima ujikubali tu vile ulivyo. Japo ni ngumu kujikubali lakini ni lazima ujikubali tu. Si unaona Ma celebrity wanavyohangaika na mionekano yao ??? Na ndio maana wale ni watu wenye misongo sana ya mawazo maana hawajikubali.
 
Kuna wanaume ni mna damu kareeee haina haja ya vipimo wala nenee!!!!
Watoto ni baraka granpa hongeraaa kwa kuleaa!
 
Hahaha sawa

Najikubali
 
Kuna wanaume mna damu kareeee haina haja ya vipimo wala nenee!!!!
Watoto ni baraka granpa hongeraaa kwa kuleaa!
Kwasisi tuliozaliwa kabla ya Computer, tuna msemo wetu kuwa "Kitanda hakizai Haramu"

Weekend ni siku za kucheza na Wajukuu, ni mwendo wa kuwatuma Moto kwaajili ya kuwashia Kiko zangu tu πŸ€ͺ
 
Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari πŸ™Œ

Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka πŸ€—
Au chumvi kwenye chakula isipokuwepo , hakuna ladha tena .
wazeee mna maarifa sana
heshima kwenu baba zetu .
 
Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari πŸ™Œ

Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka πŸ€—
Mapenzi ya pesa ni utumwa granpah!!! Hasa kwa kizazi chetu hikiii πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…