Selfika na JF: Snap it. Show it


Kabla teknolojia ya kupima DNA haijarahisishwa, Wazee waliweza kutazama viganja vya mikono na kujua kama Mtoto ni wa ndani au alishuka kutoka Nchi za mbali 🤪🙌

Hata baada ya miaka mingi ya ukuaji wa teknolojia, baadhi ya Makabila bado wanatumia njia hii kuweza kufanya utambuzi wa damu zao.

Kabla hujaamua kwenda kwa Mkemia Mkuu, unaweza kujaribu njia hii pia na ukapata matokeo walau kwa 55-70% 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…