DepayIle picha uliyoweka mbona siioni
ππ tonge mbili pale natoaππ
Njoo ule π
AbeeDepay
Hii portion ndogo ni Kwa ajili ya Sisi wanaume WA daslam
Pilau imeiva??Abee
Me sijala pilau leo πPilau imeiva??
Pamoja na kuzidisha portion????ππππ tonge mbili pale natoa
Ahahahah sawa mkuuView attachment 2630071
Mzee wa kazi mbona unaweka picha kama attachment ya email? Si uwe unaweka kama hivi?
ahah leo wageni wamenikomoa sanaChef Mwachi oyeeeee
No pilau ndizTuone na pilau basi.
Na chips chombeza zakujazia πHii portion ndogo ni Kwa ajili ya Sisi wanaume WA daslam
Tuone sasa....No pilau ndiz
hehehee makubwaEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
hahaa eti mpoleEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
Sijaona kilichozidi palePamoja na kuzidisha portion????ππ
Huyo nani ana marinate kuku?
hehehee makubwa
kuna wakuria watata sana
mie sijui kwa nn sio mkali
hahaa eti mpole
tuone upole wako .Mm mpole yani
Uoni mkono wangu ππHuyo nani ana marinate kuku?