Washajua pia ni Wavivu wa kubargain, wengine wapenda short cut. Wanatuponza na sie ma hard core ๐๐
Au stand. Pale stand kubwa uwa nachukia sana, muda mwingine mtu unatembea unaelekea dukani. Ila wapiga debe mabus washakufata.
Sawa wanatafuta ridhiki, lakini wengine unakuta hajakaa kimkao wa kusafiri ila kumzonga sasa ๐