Selfika na JF: Snap it. Show it

Uber yenu hiyo watu wa Dar, poleni.

Sisi huku hatuna mambo za foleni.. kama naenda hapo, dereva atachagua apite juu au chini.
Mna raha huko aisee yule dereva sina hamu nae , tulichelewa kufika na bado analalmika .

nikiwa na mishe napanda bajaji najua ni fixed .

kama siku naenda kigamboni dereva uber ananiambia kuna kulipia pale darajani , nikamwambia ongea na aliyekuita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ mbona wanawakomesha.

Kuna wakati huko nyuma nilikaa Sakina. Kuja Town ilikuwa buku 3 mara buku 4/5.
Ndio maana nimeizoea sana indrive.. mm sio mtoto wa fogo. mshamba_hachekwi
Kuna wakati kutoka Sakina kuja Town na mashost tunatembea au indrive. Mara toyo πŸ˜‚
Daladala nilikuwa napanda asbh tu sbb ya kuogopa baridi
 
Naona umeamua kuwa westlife 😎
 
Eh wanajikuta sana , mie sina pesa ndo maana nakuuliza mara mbili shs ngapi mapema .

sio hao tu siku nimemuagiza boda aniletteee mzigo toka home hadi nilipo kapaona mbali kweli

kufika anaongeza elfu tano nilimwambia sikupi πŸ˜‚πŸ˜‚ labda akupe mzee na sio mimi πŸ˜‚πŸ˜‚ . nilikaza sana kwa yule boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…