Jana nimetoka kazini asubuhi (nilikuwa night shift) nikapitia tandika kucheki nguo za mtumba. Mimi Ni pointer pia ukiachana na kazi ya ajira ninayofanya,siwezi kuacha hii kazi maana nilianza kuwa pointer wa nguo na kuwatembezea wateja tangu nikiwa chalii.
zilitoka track Kali sana alafu Bei mzuri. Ila sikununua hata moja maana Sina wateja wemgi wa track.