National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
ile hata ukimbie utayapata tuuu majibu yako π π πMara ya kwanza nilitaka kukimbia majibu pale Hubert Kairuki, ilikuwa ujauzito wa first born wangu.
Maisha ya Ujana na ukiwahi kushika hela inakuwa mtihani sana.
Anyways, Mungu ni mwema π
Hahahaha................sio ile nyingine ni ile chumvi nyingine πSasa hivi ukisema umekula chumvi nyingi.... πππUnaelewa
Hahaha............ni kweli asee, nilizuga zuga naongea na simu lakini still bado wakasema wananisubiria ili tupewe majibu kwa pamoja πile hata ukimbie utayapata tuuu majibu yako π π π
Au tuseme umekula zote zote je π€π€π€π€πHahahaha................sio ile nyingine ni ile chumvi nyingine π
Zote hapana, ni ile nyingine ndiyo nimekula πAu tuseme umekula zote zote je π€π€π€π€π
Jirani, kila ijumaa lazima tutoe masterpiece [emoji16]Jirani , upo vyedi
next time ukibake nikumbuke
Ana nyonya sana jamanii yaani pumzika yangu nikiwa nje na nyumbani π¬Lol bado bado kidogo kama hakuna sababu ya msingi usimuachishe mapema mi jr aliacha akiwa na mwaka na miezi 5 nilienda marking NECTA 3 weeks! Kurudi haaaa kwanza mwanzo alinikataaa kama hanijuii na kunyonya keshasahauuu!
Ooh jamaniJirani, kila ijumaa lazima tutoe masterpiece [emoji16]
hi broHallo guysπ
How are you doing cctahi bro
Karibu jikoniiOoh jamani
Im obsessed with baking
Unaniachia msala ujueπ²
Anichambe? Una maanisha nini?Kila ntakapokuona nakulima zingine.
Na nimemtuma Cocah akuchaambe.
Watu mnautafuta uzee kwa lazima jamani duuh π€π€π€Zote hapana, ni ile nyingine ndiyo nimekula π
Saivi kusoma JF yenyewe navaa miwani yangu ya macho kutokana na Uzee πββοΈ
Utanichek boss wanguMzee niaje ? Kesho nitakuwa hapo kati kati makao makuu masaa kadhaa
pretty finee vipi weweHow are you doing ccta
Niko poapretty finee vipi wewe
Njoo unichukue, nishasign out[emoji847]
Asante sanaKaribu jikonii