Yaani huyo amekuwa affected na porn filmsMmh totoo, hii lugha humu sio poa
Aleikum Salaam Mjukuu,Babu Grahams naona kivuli chakooo granpa popote ulipo nakusamilia samalekooooo β!!
Vipi leo hauna ka selfii ka 1st born wako??π€π
MazziyahYaani huyo amekuwa affected ni porn films
Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana π€Ni wewe tuu
Good boy
Kule ni sokoni tuππ, Tengeru kwa wameru hukoππ
Gorgeous π
Totoo mshamba_hachekwi em tuonyesheKwanza atuonyeshe huto turaba twake twa Krokoni π€£π€£π€£
Niite Ngoshi Wane mbona hauelewi wewe ?? πππMazziyah
mi mwanachuo malapa kwa sana πTotoo mshamba_hachekwi em tuonyeshe
Hongera mkuu kwa kujali Afya yakoView attachment 2627715
Wanasema hata Sisi Wazee tupo kwenye hatari pamoja na kuwa Jogoo hawiki kutwa mara 3 kama Vijana ππββοΈπ
Kila mmoja amlinde mwenzake hata kama kutoka Mji ulipo na alipo yeye pana umbali wa kilomita 1,000
Zero HIV inaanza na Mimi/Wewe
Wale wameru bonyeza parachichi uone kama hajakutimua wewe na tuhela twakoKule ni sokoni tuππ, Tengeru kwa wameru hukoππ
Hongera sana kukumbuka kucheki afya babuu mie hata sikumbuki mara ya mwisho nilipima lini lol!!View attachment 2627715
Wanasema hata Sisi Wazee tupo kwenye hatari pamoja na kuwa Jogoo hawiki kutwa mara 3 kama Vijana ππββοΈπ
Kila mmoja amlinde mwenzake hata kama kutoka Mji ulipo na alipo yeye pana umbali wa kilomita 1,000
Zero HIV inaanza na Mimi/Wewe
Asalaam aleykum ?Hongera mkuu kwa kujali Afya yako
Huu ni uungwana kijana, barikiwa
tengeru pa hovyo sana πWale wameru bonyeza parachichi uone kama hajakutimua wewe na tuhela twako
Selfika kwanza ndio nitakuitaNiite Ngoshi Wane mbona hauelewi wewe ?? πππ