Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,343
Ndio rubani wa kwanza kuwa na janjajanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaSafi sanaπππππ₯
Akuje kwan nimchambeee hadi akomeeNdio rubani wa kwanza kuwa na janjajanja
Mchambe tu mwaya,amezoea.
nakuona boss....Mjep selfika bas
Safi sanahahaa
aliwaweza ππ
keki tofauti na decor pia
mmoja ni boy , mwingine girl .
Mtoto wa Kiboroloni Mamaa wa Pointment ππ»ππ»ππ»π€£π€£π€£π€£π€£ tena aliikazia mara ya pili naomba PointmentView attachment 2626920
View attachment 2626918
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
View attachment 2626919
hapo alijua kuwanyooshaSafi sana
Angalau dada anabalance Dunia.
Siyo kila siku tuonewe sisi tu.
Akujeee hapa harakaa sanaaaWe Post M-alone njoo,
Coca mkombozi wangu amefika.
Vipotabo sinaga ladha nao kabisa ni mifupa tuu π€’π€’π€’ mmh hapana aseee,Hio itakutoa hio ankoli aker bora uwe na kipotabo chako tyuuuβΊοΈβΊοΈπ !!
Astaghfirulahdyudyu kazi yake nini sasa...
nisaidie dada haeleweki mara atake mara akataeπ
Na akaomba namba ya Majaliwa waongee chemba πMtoto wa Kiboroloni Mamaa wa Pointment ππ»ππ»ππ»π€£π€£π€£π€£π€£ tena aliikazia mara ya pili naomba Pointment
Tuko busy muda wa lunch huu, au huna hela ya kula
π π π π π Daaah eti unatembea nako nyumba nzima, mmh hapana aiseeWee anko hivo ndio vitamu unavikunja utakavyo afu ni vyepesi unaeza tembea unazunguka nyumba nzima huku umekimanua unakitromba!π
Mabonge mazitoo !
Aseeee, π π πAcha woga kijana, wepesi sana hao![emoji3]
Asbh nilikula maandazi mengi.Tuko busy muda wa lunch huu, au huna hela ya kula
Asbh nilikula maandazi mengi.
Sahivi ni [emoji116]View attachment 2627524