Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna manzi mmoja nilikuwa nikishika simu yake kwenye fb alikuwa na urafiki na hao Wahindi daaah! Kumbe alikuwa anaangalia madushe yao ๐Ÿค” hata akaunti zake za zamani Wahindi walikuwa hawakosi
Hehhe huyo dada noma au tunatofautiana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nilikiona tu mweupe ngozi ya Asia ni kuignore sitaki upuuzi
 
Iiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!
Umependezaajeeeee mamy... potrabo mmoja matraaatraaaaa sanaaaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜!
Wabheja sana
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿคณ Nasubiri wengine ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
 
Hehhe huyo dada noma au tunatofautiana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nilikiona tu mweupe ngozi ya Asia ni kuignore sitaki upuuzi
Nilikuwa najiulizaga sana sasa huyu na Wahindi na Waarab wapi na wapi na utakuta hao Wahindi sio wa Tanzania. Hatari sana inaonekana wanatumiana labda ๐Ÿค”

Basi mnatofautiana. Huyo mdada hadi nikishika simu yake insta waasia wapo
 
Hehe anajiweza aisee , navyogopa kujiunganisha na watu .
Ukutane na jini basi naye yeye anawatumia huyo .. Maaana anayapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ