Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Kwanini lips upale lipbum zinametameata una mvutia nani?kosa langu mimi kwako ni lipi labda....
Kwanini lips upale lipbum zinametameata una mvutia nani?kosa langu mimi kwako ni lipi labda....
lipbum ni nini??Kwanini lips upale lipbum zinametameata una mvutia nani?
Ni kujikausha tu ..Ndo utajua hujui 😂😂
Ahaha ujui wakat umepaka haya jana nimeona ulituma picha ukiwa na bby care ilikuwaje ulikuwa unapaka mwilini au ndio maandalozo ya kwenda topeni au ndio ulikuwa unapaka mdomonlipbum ni nini??
Wewe hivi chuo kimefungwa.?lipbum ni nini??
Wanawake wengi wanacheat kwa njia hii .. Bila video .Mambo mazito haya aisee! Hiyo ni sexting kabisa
ilete hiyo picha....Ahaha ujui wakat umepaka haya jana nimeona ulituma picha ukiwa na bby care ilikuwaje ulikuwa unapaka mwilini au ndio maandalozo ya kwenda topeni au ndio ulikuwa unapaka mdomon
hamna vipindi....😂Wewe hivi chuo kimefungwa.?
Good. Miss uNipo poa vipi wewe ?
Unazijua sup 😂hamna vipindi....😂
Missing you tooGood. Miss u
ndio ila nashkuru mungu hazijanikamata mpaka hivi sasa 😂Unazijua sup 😂
Naona leo asubuhi mshamba_hachekwi akakuletea file langu kuwa tulikutana mahali😎Missing you too
😂😂 Asubuhi nimekuona unanisagia kunguni ila nikapita kama upepondio ila nashkuru mungu hazijanikamata mpaka hivi sasa 😂
Ni Jana usikuNaona leo asubuhi mshamba_hachekwi akakuletea file langu kuwa ulikutana mahali😎
kosa langu liko wapi😂😂 Asubuhi nimekuona unanisagia kunguni ila nikapita kama upepo
Nilikuwa safari I, network shidaNi Jana usiku
Hauonekani humu bro
Kwa nadra sana , WiFi kakuficha kweli