Selfika na JF: Snap it. Show it

Citizens!!!
Hallah

UCL finalists



Mwaka wetu huu, na haturingii wala nini.
 

Kamera tu anko akeee sina hata uzuri wowote mie 😉 !!

Good morning!!

Saii Umefikia kulike Post za mwaka gani ankali akee😊??
 
Kamera tu anko akeee !!

Good morning!!

Saii Umefikia kulike Post za mwaka gani ankali akee😊??
Nimeamua nichangamshe jf kidogo kwa kugawa dislike 943 😅😅😅😅😅

Nilikuwa sina cha kufanya nikaanza kuzama profile za watu na kugawa dislike kaa zote vile, mpaka watu wameamua kunianzishia thread

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads...mbeya-mbeya-jana-amenipa-dislike-315.2097830/

Jf raha sana ukiwa na stress unazimalizia humu 🤣🤣🤣
 

Hahaha.. Hakii anko akili zako unazijua mwenyewe lol!
Ngoja nikaupitie nitanue mapafu miee 🤣!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…