Najua umenimiss Sana[emoji23][emoji23][emoji23].
Nimekuja mdogo wangu
Hahahha unabishaaaaaaa?????
Hahaa em muite Atoto naye aje ashuhudie haiba ya kufungia mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tangu umeanza kusema utapost nimeshazaa na mtoto ameshaanza shule ila wapi,, siku ile nimechoma mahindi weeeee nasubiri picha holaaa.. kwanini lakini unatufanyia hivi eti????
acha uchoyo. Hutaki na wenzako waonje ukwaju ?
Kweli nimekumiss wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe siyo wa kunifanyia mimi hivi,, yaani unaniacha huku mwenyewe?? [emoji26][emoji26][emoji24][emoji24]
Halafu ulivyo na roho mbaya najua wala hujanimiss mimi
View attachment 1271621
Enzi hizo kabla hatujaathirika na utandawazi..... na kabla ya vifridge ( Vitambi) vya beer na viroba.[emoji23]
Ondoa hofuHao uliowaonjesha kabla yangu wanatosha,, utaniletea magonjwa sasa..
Huniamini?[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmmhh acha tu nikubali kishingo upande,, jamani Lizarazu hata mie nimemmiss mno sijui kapotelea wapi eti..
View attachment 1271621
Enzi hizo kabla hatujaathirika na utandawazi..... na kabla ya vifridge ( Vitambi) vya beer na viroba.[emoji23]
Weka picha basiNani yupo macho?
Mimi mpenziNani yupo macho?
Naweka.Weka picha basi
Sawa Diaspora tuendelee kuwa machoMimi mpenzi
AlrightSawa Diaspora tuendelee kuwa macho