Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,261
Kipindi cha pili itakuwa Man City 2- 4 Real Madrid.Man City 2 β 0 Real Madrid
Basi nilikuwa nakuonaga mkimya sana, nikakumbuka kwenye huu uzi ulifunguka sana siku hiyo nikasema kumbe kasura kaupole ila maneno unayo πAt least MTU ajue hawezi kukuchezea .
Nina kasura ya upole ndo kinachonisave hahaha .
Hapo kwa RMA itabaki 0 hiyo 4 ihamishie kwa Man CityKipindi cha pili itakuwa Man City 2- 4 Real Madrid.
ππNi kama upite mwenge hujasuka unakereka kila unapopita wanakuambia njoo usuke dada
Hahaha nimekumbuka , nilikuwa wild πππBasi nilikuwa nakuonaga mkimya sana, nikakumbuka kwenye huu uzi ulifunguka sana siku hiyo nikasema kumbe kasura kaupole ila maneno unayo π
View attachment 2625796
Hehehe nipo na mnyoosho wangu halafu mnaniita πππππ
Inakera alafu bas tuHehehe nipo na mnyoosho wangu halafu mnaniita πππ
hahaha jirani jiachie!Hahaha nimekumbuka , nilikuwa wild πππ
Siku nyingine najachia aisee
Zamani huko ndo nilikuwa mkimya siku hizi nazoom tu macho
Thank you jirani , will dohahaha jirani jiachie!
Raha jipe mwenyewe.
Inakera alafu bas tu
Yeah mnoInakera alafu bas tu
Nyie wenyewe mnatupanga mnatusave majina ya mabenki....
BlackcornshmanHapo kwa RMA itabaki 0 hiyo 4 ihamishie kwa Man City
HahaNyie wenyewe mnatupanga mnatusave majina ya mabenki....
Mbona nyie huwa mnatupanga na kutubandika majina ya ajabu ajabu hatusemi π
Sawa na siku ile ulikuwa wild aiseeHahaha nimekumbuka , nilikuwa wild πππ
Siku nyingine najachia aisee
Zamani huko ndo nilikuwa mkimya siku hizi nazoom tu macho
Hahaha tit for tatMbona nyie huwa mnatupanga na kutubandika majina ya ajabu ajabu hatusemi π
Ni kweli hampiti na wote, ila lengo lenu hua ni kuchuna pesa....Haha
Ke hatoweza kupita na wote
Ila nyie wote mnapita nao