mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
hizi label ziko nyingi afu zinachanganya๐ mi mpaka leo sijui niko kundi gani....Mie actually sio introvert , nipo between .. Ni kuamua tu niweje .
Itakuwa una multiple personalities ndo maana ngumu kujuahizi label ziko nyingi afu zinachanganya๐ mi mpaka leo sijui niko kundi gani....
Oooza avha ni agize popcorn kabisa
Mapema sanaTunaenda kumzika mtu leo
View attachment 2625706
Lazima City afie sebuleni kwake leo.Oooza avha ni agize popcorn kabisa
Hahaa hizo ni ndoto za mchanaLazima City afie sebuleni kwake leo.
Hii saluni wanajua jamani kusuka . nilipita nje ya ofisi yao . MTU anasukwa vizuri .
Picha haionekani [emoji3166]Usiku mwema wapendwaaaa[emoji8][emoji8][emoji8] [emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Ni kama upite mwenge hujasuka unakereka kila unapopita wanakuambia njoo usuke dadaWanajitahid sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Tinsley una maneno kumbeeNi kama upite mwenge hujasuka unakereka kila unapopita wanakuambia njoo usuke dada
Kweli maneno nayo ni silaha tosha ๐คฃ๐คฃYes , a bit ๐๐
Usipojua kuongea unaonewa ,
At least MTU ajue hawezi kukuchezea .Kweli maneno nayo ni silaha tosha ๐คฃ๐คฃ