Amna lolote watu tuna furaha na tuko real tunajiamini sananhata kama tuna pua kubwa tumekubaliana na hali miandkko isikuaminishe hivo
Sitaki siku mkinikuta nanunua vitumbua na kandambili zangu mpate heartbreak 😂😂😂muone tu kumbe ndo yule yule mwenye sura kama tingatinga 🤣🤣🤣pale selfika