Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wew mpana kama Dela la kisomali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fungua code banaa auntie hapo umeniacha kabisa!!

Kwa umri wangu huu nimeshaona nakupitia mengi sana auntie !
Nitachanganywa navitu vingine ila sio Mapenzi aisee!!
 
Sasa mwanaume anaandka magazeti hafai wa comment fupifupi ndo mpango 🀣🀣🀣🀣
Au sio mkuuu, haaa tena sisi wa magazeti in real life ni ma introverts wa kutupwa sema humu tunajimwagaga tu maana hamna effect 🀣🀣🀣

Kwaiyo na ww unataka iPhone 14 sio πŸ˜†πŸ˜†
 
Ukiendekeza pesa lazima uwe mtumwa mnywanii!!
Bora niendelee kupambana nashida zangu ila sio kuwa slave wa mapenziπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
Nitafutie ki mwalimu Basi hapo!!

Unajua walimu wanajengaga familia bora Sana mnywani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wew mpana kama Dela la kisomali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu ankoli Namgawa bureee kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Aba files zetu wote humu hafaiii kabesssaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Au sio mkuuu, haaa tena sisi wa magazeti in real life ni ma introverts wa kutupwa sema humu tunajimwagaga tu maana hamna effect 🀣🀣🀣

Kwaiyo na ww unataka iPhone 14 sio πŸ˜†πŸ˜†
Sijawahi hata kumiliki samsung ndo kwanza nipo kwenye Infinix hot 10 iphone14 sijawahi kuona hta Kwa machoπŸ˜‚πŸ˜‚nzionaga kwenye instagram
 
Huyu ankoli Namgawa bureee kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Aba files zetu wote humu hafaiii kabesssaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hafai kabisa Mimi langu naomba kabla hajalileta anifate pm tuyamalize kwanza mana Nina presha naweza zimia kwenye Uzi hapahapa sijui mtanibebaje🀣🀣🀣
 
Sijawahi hata kumiliki samsung ndo kwanza nipo kwenye Infinix hot 10 iphone14 sijawahi kuona hta Kwa machoπŸ˜‚πŸ˜‚nzionaga kwenye instagram
Sawasawa usiendekeze tamaa auntie yangu

kuna wenzako humu walipigwa mtungo na hawakupewa jomoni 🀣🀣🀣,

πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ Olooolooh
 
Less words more actions mnywanii!! Aaacccccctttttt πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa sauti ya Ankoli akee πŸ˜‚πŸ˜
🀣🀣🀣🀣🀣 Nacheka kama mazuri auntie angu

A. Kuna watu wanaringia hela za taasisi jamani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… daaah asee

B. Walishindwa kujinunulia iphone 14 jmn πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

C. Au walitegemea yule jamaa ni konde boy kwamba atawafungulia na biashara juu

Duuh asee tushie hapa kwa leo ubuyu mtamu ila angalia usikupe kisukari acha nikajisomeee sasa sitaki sup mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…