Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashavu kama mashavu ptuuuu !!

Mie nishazeeka ankoli akee nasubiria kulea wajukuu tyuuu!!
Komaa na makinda saizi yakoo ndio wanakufaaa kwa akili yako hio Mbili kasoro πŸ€£πŸ€—
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Daaah sema kweli hizi akili zangu ni Mungu tu anazijua 🀣🀣🀣🀣🀣

Hata hapa chuo sijui nimefikaje, 😝πŸ€ͺ

My friend
congrats mammy
 
Serious auntiee I'm not jocking niziweke hapa hapa sio πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ ntafurahije jomoni sema huyu madam ni mkali duuh sijui kwann asije kunilima block 😁😁😁😁😁😁😁
Serious auntiee I'm not jocking niziweke hapa hapa sio πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ ntafurahije jomoni sema huyu madam ni mkali duuh sijui kwann asije kunilima block 😁😁😁😁😁😁😁

Mbantu mbona mzunguuuu sanaaa afu hanaga uswahiliiii Kabesaaa labda wewe uwe unamchamganyia mafile tyuu yee hana shida kabisa!!
 
Nawapenda pia kaka zangu.
Why umuwakilishe huyo na sio mwingine?
 
Sasa watoto wanalilia wembe afanyaje hahaha!

Mimi mwenyewe chino nisingewaacha
Yule muhuni ananichekeshaga sana alafu ubaya, kuna ile style yake ana zama kwenye thread yule demu anayemtaka ndo ana like comment yake anakaa wee kama week 3 anatupa vocal pm yske ipogo wazi daily kwaiyo mademu huku wanazama tu,

Wengine mpaka, wana naniliiu kabisa wanawekwa mtungo duuh jamaa ananichekeshaga sana ila kwa yule

Naniliuu alifeligi sijui alikwama wapi sema huyo nanilliu ana misimamo kweli


Sema hawa wajinga wengine jamaa anawaweka tu,

Daaah yaani muda mwingine ukijua vingi ni shida nisije nikajaza server humu acha niishie hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Daaah sema kweli hizi akili zangu ni Mungu tu anazijua 🀣🀣🀣🀣🀣

Hata hapa chuo sijui nimefikaje, 😝πŸ€ͺ

My friend
congrats mammy
Thank you kichaa akee πŸ€—πŸ˜Š!
 
We mzee inaonekana library kwako umejaza ma file kibao.

Lakwangu halijakufikia kweli hapo
 
Mbantu mbona mzunguuuu sanaaa afu hanaga uswahiliiii Kabesaaa labda wewe uwe unamchamganyia mafile tyuu yee hana shida kabisa!!
Hahaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ napendaga kumtania sana maana nilivyojiungaga humu yy ndo alikuwa mtu wa 1 kumtania kule jf usiku wa manane anyway sawa auntiee
 

Wee ankoli nakujaaa tsup unipe huu ubuyu walaiiii sio kwa code ngumu hiziiii sio kwa mitungoo hioo walai Bantu Lady hauna hili file kwanii??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
Alojiungaa 2016 humuuuuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” kuna 1 Grahams mwingineeeeπŸ€”πŸ€”πŸ€” ngoja nitafuteeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£!
Umbeaa kaziii walaiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…