Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo sehemu watu waliingizwa chaka na madalali wamepata hasara sana
Wanasema hapakuwa na shida awali. Ujenzi wa mradi bomba kubwa kutoka basihaya kupeleka maji baharini na bomba lenyewe liakishia mitaa hio bila kufika baharini ndo ilikua chanzo. I guess mwenye hilo eneo alifile kesi na amelipwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…