Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Kwa mama wote mlioko hapa. Happy Mother's Day wapendwa. Msije mkasema kuwa tumewasahau. We love you...❤️🙏🏿
Kesho mapema kabisaUnayapitia lini??
I'll be there 😎Kesho mapema kabisa
Nitakua kituoni pale kwa ndevu ninayasubiri
Dr lizy naumwa meninsiwez tafu a iyo samaki meno ya chin yote yanauma as if yanaziba uwazi wa meno kwahiyo unanishauri nini? Dr
Unywele wa kinyaki OG
MweeUnywele wa kinyaki OG
Pole!!!😕Dr lizy naumwa meninsiwez tafu a iyo samaki meno ya chin yote yanauma as if yanaziba uwazi wa meno kwahiyo unanishauri nini? Dr
Im okay dear vipi weweUko poaah
Mazuri sanaNimepewa maua ya Roma nimshikie!😊View attachment 2621944
But i cant be patient in painful for sure hapa tu nishabugia malimau wapi meno yanajivuta sehemu moja tu katikati ya upande wa kulia na kushotoPole!!!😕
Kuna jino litakua limetoboka....na inabidi ukalijaze au ung'oe. In the meantime, jaribu kuweka dawa ya mswaki....mie huwa inanisaidia sana. Ila ukiweka lazima liume sana for sometime.
🙄Naona unanisagia kunguni mkuu mi mbona mgeni jmn acha zako ww
Okay mgeni nisamehe 😂😂Naona unanisagia kunguni mkuu mi mbona mgeni jmn acha zako ww
Rabbit vipi 😂😂
🥕🥕🥕🥕🥕🥕Rabbit vipi 😂😂
Unapenda karoti eeh sio🥕🥕🥕🥕🥕🥕