YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimesema rafiki sio, mkuuuJack Palladino bora umemchana huyu ye34nbe. Anaitaje pisi kali mkuu, ameniangusha sana😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimesema rafiki sio, mkuuuJack Palladino bora umemchana huyu ye34nbe. Anaitaje pisi kali mkuu, ameniangusha sana😂
Pole network ya huku noma, ndio naona comment yako. hii sijui ni dinner auTuone picha....
Leo hatulewi 🙄Anafaa kuitwa babe
Nalewa hapa!Leo hatulewi 🙄
Nyama zimenifurahisha sana!!!Pole network ya huku noma, ndio naona comment yako. hii sijui ni dinner auView attachment 2621655
Muagize boda bas alete jdNalewa hapa!
Huku nilipo natumaje boda?Muagize boda bas alete jd
Kumbe hakuna boda wa ndege uk?Huku nilipo natumaje boda?
daslamu hamli kushiba mnakula ku-survive 😂
Lekebisha kauli mtotodaslamu hamli kushiba mnakula ku-survive 😂
mbona inaeleweka 😂Lekebisha kauli mtoto
WaDarslum hatufanyi kazi ngumu.🤓daslamu hamli kushiba mnakula ku-survive 😂
😂😂 Nitakukaribisha siku moja tushindane kuzitafuna.Nyama zimenifurahisha sana!!!
mbona inaeleweka![]()
umeshapata aisikirimu....Tutakutwanga wewe dogo
Nakunywa yogat na chocolateumeshapata aisikirimu....