Ah wapiUmetoroka church leo, nimekuona unatoka kabla ya misa kuishaπ
why the sad face??Morning π
Marhaba, umeamkaje ?sijambo dada shkamoo....
Read it again π, angalia kwa umakini hiyo emoji.why the sad face??
Naona interview imeanzaπ shem @yes34nbe usiangushe point sasaNaomba niulize
Why una weird ID
Maana yake pia ??
Siwezi angusha mkuuu, siachi maksi hata moja π πNaona interview imeanzaπ shem @yes34nbe usiangushe point sasa
Akya nani ππNaona interview imeanzaπ shem @yes34nbe usiangushe point sasa
dah, nina ushamba kidogoπRead it again π, angalia kwa umakini hiyo emoji.
salama kabisa, nikiwa na afya njema....Marhaba, umeamkaje ?
Tinsley huu mkataba umesha saini?? πEwaaa shem umewasili, naomba unipigie tafu kwa kipenzi wangu huyo, ndege wangu asijekunipotea πππ
Mshamba hachekwiπππdah, nina ushamba kidogoπ
Mwenye dada hakosi shemejiπAkya nani ππ
weekend inaenda fresh?? πMshamba hachekwiπππ
Pambania sasa, katoka kuungama leo kwa hiyo yuko freshππAta u sign tu kwa lzm πππ
Document zipi tena jamani,, ππππhajawasilisha document zozote , nawezaje saini ππ
ye34nbe changamkahajawasilisha document zozote , nawezaje saini ππ
Ulijua maneno yanatoshaπ kuna mwanasheria wa familia kabisa na utahojiwa na ukoo mzimaDocument zipi tena jamani,, ππππ