Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
π€£π€£π€£π€£ wewe haujaenda nshakushtukiawe tulia mzeeπ
Mashangazi wameniambia nijiandae β anytime soon πππKwanini utulivu ghafla hivyo..?
Kwani Ile mahari tayari..?π€
Unaona sasaππkama ndo hivyo basi sijapotea niponipo tokea mda π
PeterrabbitMdogo wako nani tena mkuu, π³
za asubuhi nyie watu....
nimeenda mkuu kuna vitu nimesahau ππ€£π€£π€£π€£ wewe haujaenda nshakushtukia
Mi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.Nashukuru Mungu vipi wewe ?
Umeenda church mpendwa
umeenda kanisani leoπMarahaba totoo
Oooh alisema mna undugu,,
Naamini sasa utapambania neno la Mungu π€£ππ€£Mi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.
Nimeenda ndio nimerudi mud si mrefu hapa
Ahaha haya bana hongera sana. Huwa nafurahi kuona vijana wanamkumbuka Muumba siku za ujana waonimeenda mkuu kuna vitu nimesahau π
nani asiyetaka kwenda mbinguni mzee wangu πAhaha haya bana hongera sana. Huwa nafurahi kuona vijana wanamkumbuka Muumba siku za ujana wao
Kweli mkuu maana mengine yote ya dunia ni ubatili ni kujilisha upepo. Nataka nijiunge na kikundi cha kwaya kabisa π€£π€£π€£Naamini sasa utapambania neno la Mungu π€£ππ€£
Oh AmenMi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.
Nimeenda ndio nimerudi mud si mrefu hapa
Ni kweli aisee mbinguni kutamunani asiyetaka kwenda mbinguni mzee wangu π
Ndio ni ndugu Yangu ππOooh alisema mna undugu,,
Hivyo hapo mbeleni natumai ntaanza kumuita shem, ππ
Kabisa.Oh Amen
Hakika Mungu ni mwema
Sijaenda naposaligi , kuwahi kutoka raha sana .
Sawa kipenzi βΊοΈππNdio ni ndugu Yangu ππ