25 badoπI'm obsessed with kids jamani
Ni vile bado tu πππ
πππUnajikuta katoto kakikungalia sana tu unaanza muone sura kama babaakeπππKuna zile za Bahati mbaya
Mimba inaingia bila kupanga .
Mwingine anawatekeleza wote , mtajijua wenyewe πππ .
Ni kama kuachwa vile , unakaa unampenda weeh , Mara ghafla MTU kakuacha .
Really Kuna bond nzuri sana katoyao hata mm na babaangu aisee ulikuwa humwambii kitu πYeah upendo wa baba kwa mtoto ni unconditional .
Unamfanya awe na furaha muda wote , na kukua katika mstari ulinyooka .
Wee changamka sasa, mbona ma bro wengi hapa, huyu Gily je hasomeki??Bro nipo journey ya kuelekea 30,ππππ
Yaani shwa 30 ile , hata mchuchu sina πππ
Timu lenyew bayaaπΆπΆπΆWananchiiii tuemdelee kulewaaaππππ
View attachment 2620500
Mrembo kama wewe inatakiwa uwe mwananchi!Timu lenyew bayaaπΆπΆπΆ
Na first born wanafanana na baba zao balaa .πππUnajikuta katoto kakikungalia sana tu unaanza muone sura kama babaakeπππ
Sisi last born tunafanana na naniπ’Na first born wanafanana na baba zao balaa .
Unaishia kumkumbuka jamaa tu πππ
Inapendeza sanaReally Kuna bond nzuri sana katoyao hata mm na babaangu aisee ulikuwa humwambii kitu π
Lipiza nne kabisaπ€£View attachment 2620506
Hasira zangu kwa UTOPOLO namalizia hapa
Poleni mlio singo
Mwanamke mweusi unaanzaje kudeka pooo
π Kwan wewe sio mtuHumu wengi waume za watu
Ukijichanganya unalo ππ
Mtu piaπ Kwan wewe sio mtu
Lipiza nne kabisa[emoji1787]
Ili Hasira ziishe zoteHuo mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisubiri basi nikue uwe wangu peke yangu, eti dada eeMtu pia
Ila wana wachumba/wake zao
Ukijiingiza ni unakuwa side chick
Sipendi kabisa hayo .