๐๐basi basi badilisha mada๐
Hata hiyo ya zama sijawahi iona, mdogo wako nina mwezi wa 2 kumiliki smartphone ya urithi ๐Sina picha mpya
we njoo tu usigope ๐ una-vape??Heee totoo!! Emu acha kunileta
Weka kwanza ya juu broHata hiyo ya zama sijawahi iona, mdogo wako nina mwezi wa 2 kumiliki smartphone ya urithi ๐
Bro tena๐๐Weka kwanza ya juu bro
๐ selfika.we njoo tu usigope ๐ una-vape??
๐ selfika.
Mie mdogo wako tu dada, u bro unatokea wapi tena?
Umekasoro dongo uwe 2pac ๐๐๐ญ
vipi sasa unatumia vape, sheesha ,bangi?? ๐Umekasoro dongo uwe 2pac ๐๐๐ญ
Eeh jamani kuiita mdogo wangu ni ndefu mno .Mie mdogo wako tu dada, u bro unatokea wapi tena?
Wakubwa wanafaidi sana๐, na mimi nikiwa mkubwa nitatafuta karembo kama wewe๐
Kasoro kete ๐๐๐vipi sasa unatumia vape, sheesha ,bangi?? ๐
Ndefu si ndio tamu ama๐Eeh jamani kuiita mdogo wangu ni ndefu mno .
Lemme call you bro basi
Hahhah Hamna lolote
I think i'm falling in love๐ nifanyeje sasa๐Kasoro kete ๐๐๐
Yees. Kichanga cha pwani-bagamoyo kiromo. Karibuni shambaPwani ๐ฅฐ
Huna la kufanya totoo zaidi ya kunywa maji na kurelax.I think i'm falling in love๐ nifanyeje sasa๐
Naomba uninunulie korosho pakti 2.View attachment 2620286
Ili kulinda afya zetu, Tumeshauriwa Wazee kutumia kwa wingi Korosho au Karanga๐
Vijana mnaweza kujiandaa kwa kuanza kula mapema kabla ya kufika Umri wetu ๐