Mwambie huyo, wewe ndio mkwe wangu pekee nikutambuae.
Sema ukweli bana T jamanii!! Unanionea mimi jamani, kwa nini lakini T!!
Sakayo unaona wenzako huku wanavyonyoosha miguu..?
Wewe endelea kusokota tuu..
[emoji1787][emoji1787]anasokotaje kwani??
One shot for that. Cheers.
Ndugu yangu umefanya mambo gani tena ? Yaani akati nimegeuka pembeni kusema hawa ndo wanyakyusa nnaowafahamu kurudi naona picha zimeshayeyuka.[emoji1787][emoji1787]anasokotaje kwani??
Ndugu yangu umefanya mambo gani tena ? Yaani akati nimegeuka pembeni kusema hawa ndo wanyakyusa nnaowafahamu kurudi naona picha zimeshayeyuka.
AbeeeeeSakayo unaona wenzako huku wanavyonyoosha miguu..?
Wewe endelea kusokota tuu..
HahahahahahaDah keshafuta
Dah keshafuta
MmmmhhhHapo kwenye neno la Mungu unaonewa eeh..?
Pambana na Mungu...mimi sijakuacha bhana.
Kama kina Khamisa mabattle...[emoji41]
HallelujahSawa...
Wewe Kuwa single basi...
Fanya hivyo aisee. Zile picha zinapaswa zikae maktaba.Pole mkuu...
Nikupiemu picha zake? [emoji23]