mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
mihogo inaenda na chai au maji, ila pombe na soda hapanaOK. Ila pombe na mihogo??
Ukishiba ndio unachukua kitu ya Jinro Soju
π€£π€£kachumbari kwani mi mwanamke π nagonga na maji....
Itawekwa hadharani lakini kujadiliwa itakuwa Bunge la Mwezi wa 9 ππββοΈπββοΈReport iwekwe hadharani
tena hapa inaelekea naimaliza bila maji πHeheheh wanaume nyie mkiagaiza hats chipsi tomato kidunchu .
Mie niakiagiza nataka mazaga yote achali ya embe , ukwaju , mayoinaise , tomato .
π ππ π π Duuh noma sana aseee
Mwastahili heshima , kwenye pension wawaongeze kidogoKwa kweli, kama tumepigana na vita ya Iddi Amini muhimu tupewe heshima yetu Wazee π
Aaah imenishindaga hiyo πππhizi ndo chipsi dume achana na viazi π
Uone wewe tu lakiniπAisee mdogo wangu basi selfika
Duh kavu sana hiyotena hapa inaelekea naimaliza bila maji π
Hilo neno kwa kweli, tumeitoa mbali sana hii Nchi πMwastahili heshima , kwenye pension wawaongeze kidogo
nimeshazoea wala huniumizi πTotoo
Safi sanaUone wewe tu lakiniπView attachment 2620244
hapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje πDuh kavu sana hiyo
Pata Afya nyeusi basi ππ
Ewaaah hakikaHilo neno kwa kweli, tumeitoa mbali sana hii Nchi π
Zitoke wapi sasa dada?? Kakidevu keupe sio kama ma bro wangu humuπ au niweke wigiπ€Safi sana
Pandisha juu kidogo tuone hata ndevu.
πππ we miss younimeshazoea wala huniumizi π
Uzuri wa hiyo mihogo haikabihapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje π
π€Ewaaah hakika
wapi tena mbona sielewiππππ we miss you