myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam kwako jirani😂😂 utamuua mtoto wa watu
Salam kwako jirani😂😂 utamuua mtoto wa watu
hizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi 😂Ataliaaa
🤣🤣Ndio
Ye atakaa nje kutusubiria
nikae bure tu.... namimi nataka mvuke😂Hiyo tutafanya me na Depal
We utalipia tu bills totoo
Ndio kashakua mwanaume, majukumu hayaepukiki🤣Ataliaaa
Sa uogope ninihizo sehem za kubaki uchi na taulo hamuogopi 😂
Safiiii sana jirani..Tuingie sauna shangazi Lenie View attachment 2619224
kuna ile aibu yaani 😂sema dah, mi kweli mshamba...Sa uogope nini
Vitu za wakubwa hivi totoonikae bure tu.... namimi nataka mvuke😂
Ndio twende ukatoe ushamba totookuna ile aibu yaani 😂sema dah, mi kweli mshamba...
nataka nichungulie 😂Vitu za wakubwa hivi totoo
hivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??Ndio twende ukatoe ushamba totoo
Yeahhivi kwani kwenye sauna room moja mnaeza kaa wanaume na wanawake??
Uchungulie watu au?nataka nichungulie 😂
ndio😂Uchungulie watu au?
itabidi nije huko dar nile hizi bata aisee 😂Yeah
Akili zako 😂ndio😂
Unapitwa na mengi Sana totoo, fanya ujeitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee 😂
hamna, nataka nione tu vile wako mule ndani na vitaulo😂hivo vitu nimeona tu kwenye muvi....Akili zako 😂
Soma kwanzaitabidi nije huko dar nile hizi bata aisee 😂