Selfika na JF: Snap it. Show it

Dodoma?
Nilikuwepo ila sikutaka kukaa mbele πŸ˜…
Nipoo, haya njoo kahama , anaanza kesho.
Mi mzima kabisa ndugu yangu
Kukaa mbele?

Mimi nilikuwa nakomaa na wale wahudumu nikidhani kwamba nitakuona. Nilimuona mmoja mwenye umbo kali kama lako nilipomkaribia nikagundua siyo wewe...Baada ya siku mbili nikapoteza matumaini nikaona nikomae tu na Neno...πŸ˜πŸ˜πŸ™πŸΏ
 
Msukuma Kwa kusifuu
Hahahaaaa ...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha,alooo nimecheka
Na sikuhudumu ,yes km sihudumu popote Huwa mara nyingi nakaa zangu mbele km muombaji tu,nakula neno huku unaomba....maana kule Kuna vitengo vingi....
Huwa Kuna utaratibu maalumu, ili uhudumu muhimu uwahi maandalizi pia, na sikuwepo wakati wa maandalizi, kwahiyo ,nikatulia tu kama muombaji!
Na waombaji tumegawanyika ,Kuna wanaokaa ndani kule mpk mwalimu ashuke,mnashikilia ....halafu Kuna wa nje, pale mstari wa mbele,kwahiyo usingeniona!

Ila si uliona mambo ,Hali inatisha,Yesu atusaidie!
 
Oooh!

Safari nyingine nitakudabua huko huko kwa waombaji wa mstari wa mbele....

Lilikuwa ni lile somo lililohusu Umuhimu wa Maombi ya Kimkakati ili Kuombea Taifa. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kumsikiliza mwalimu laivu. Yuko vizuri sana na kila nikisikia semina zake kama nitakuwa na uwezo wa kufhudhuria nitafanya hivyo. Analijua Neno na anajua jinsi ya kulifafanua.

Safari nyingine tuwasiliane mapema Mtumishi πŸ™πŸΏ
 
Aah basi ni dar hiyo ilikuwa!
Sa check utube la Dodoma.

Usijali ,tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…