Cute ππ
Thank you Kipenzi ππCute ππ
byurifuuπ
Ooh okay MkuuHamna mkuu nimefurahi kukuona ππππππππππ
Hamna shida kabisa sisy ππ
Asante camera hizo tubyurifuuπ
Wala usihofu sisy,,, usishtuke sana kwa mtu usiyemjua πππ take it easy mkuuOoh okay Mkuu
Reaction hizo zinatushtua .
balaa kivipi tenaπAsante camera hizo tu
Ukiona live ni balaa
Eruption of magmaPhysical Geography uanze kusoma yale Ma Plateau, soil erosion halafu kwenye maisha ya sasa hivi hayakusaidiii lolote πππ
I can't handle criticism very well.Wala usihofu sisy,,, usishtuke sana kwa mtu usiyemjua πππ take it easy mkuu
Hujawah kuona picha nzuri halafu live ukataka ukimbie mtu .balaa kivipi tenaπ
Daaaah π π π π π aseeeI can't handle criticism very well.
Ndo maana nikashtuka na reaction .
nimewahi kuona, ila kumkimbia sijawahi sitaki kumuumiza mtu kiasi hicho πHujawah kuona picha nzuri halafu live ukataka ukimbie mtu .
I can't deal with it aiseee ... I hate hearing or listening to negative things ... I guess nimeumbwa hivyoDaaaah π π π π π aseee
Criticism ni tamu sana mkuuu ππππ
Ukiweza ku handle hamna kitu kitakachokusumbua
Japo sijaku criticise ila ni tamu sana ukiitumia kwa manufaa yako ππππππ
Ooh sawa pole dearI can't deal with it aiseee ... I hate hearing or listening to negative things ... I guess nimeumbwa hivyo
Un applicable kwenye haya maisha ya sasa. Imagine kuna Jamaa tulikuwa nae pale Azania siku zote alikuwa anatembea na Burnet na Lambert ya Physics leo hii ni mchambuzi wa mpira pale AZAMTV πππEruption of magma
Wenzako wanawakimbia , ni unamtime kabla hajafika then kumuuliza alipo kaaa na rangi za nguo alizovaa .nimewahi kuona, ila kumkimbia sijawahi sitaki kumuumiza mtu kiasi hicho π
Its okay , nishazoeaOoh sawa pole dear
Tupo tofauti, Mungu akufanyie wepesi π
mimi naona ni ukatili mkubwa sana..... kuna njia nyingine zisizoumiza...Wenzako wanawakimbia , ni unamtime kabla hajafika then kumuuliza alipo kaaa na rangi za nguo alizovaa .