Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha; ngoja kwanza mabumunda ulikula?

sumbai afu mabumunda ndio lilikuwa jina langu primary nilikuwa nayajaza mawili mawili mfukoni si poa
We mabumunda nilikula saana.

Nimetoka karibu na oceani huku kwenda kanda Kati magharibi Kwa wanyamwezi nakutana na mabumunda furu na ntalali.

Kuna siku class ticha anafundisha watu tupo bize na bumunda.

Walimu wa zamani walikuwa wanajua kupigaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…