We sema hivyo alafu uje utoe tangazo hapa unaomba tukuchangie nauli urudi kwenu π€ͺ
Me iliwahi kunikuta mwaka 47 wakati nipo high school huko Tanga, ilibidi Kijiji kiuze ng'ombe kije kunikomboa.
Otherwise, yule mtu alikuwa analoweka nguo zangu kila siku zisikauke π€ͺπππ