mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Ugali na vikachumbari dogo mwanaume unakula ugali na nyama ya nyati[emoji23]
Ooh...kumbe ni Slipway, inaonekana iko vyema na huwa inajaza vyumba haraka sio!Yaani mshahara wa mtu ukatumia usiku mmoja tu.
Hapo ni Slipway
Kitimotoa ujue ikoUgali na vikachumbari dogo mwanaume unakula ugali na nyama ya nyati[emoji23]
Njoo ukule bhnaππ ugali umekaa kisukuma
We si wa Dar?
Hapendi show offKwanini aogope camera? Ana matatizo gani
Nile ugali kwani baadae nna kazi ya kulimaNjoo ukule bhna
Nitumie hiyo hela nikufanyie booking ukaenjoy ocean viewOoh...kumbe ni Slipway, inaonekana iko vyema na huwa inajaza vyumba haraka sio!
View attachment 2614337
Siku moja moja sio mbaya, Babu yenu kwenda kupunguza stressπ©.
Mnajua vile shughuli za shamba zinavyochosha π€
Kwahiyo mimi baadae nalima?Nile ugali kwani baadae nna kazi ya kulima
Ngoja nione ratiba ya Mjukuu wangu wa kunivusha barabara hapo Mjini, maana umri huu siwezi kuvuka mwenyewe π€ͺNitumie hiyo hela nikufanyie booking ukaenjoy ocean view
Chumba kitapatikana, nina connection hapo
View attachment 2614338
Itakuwa πKwahiyo mimi baadae nalima?
Hahaa sawaNgoja nione ratiba ya Mjukuu wangu wa kunivusha barabara hapo Mjini, manaa umri huu siwezi kuvuka mwenyewe π€ͺ
π ππππHahaa sawa
Mwambie aweke namba hapa chap
πππ nipo kwa wakala