Hivi hapa sio Dar Es Salaam Serena Hotel kweli?
Sufuria ya ugali ndogo
Mbona umemcrop sana
Nionueshe ugali wa mwanaume πππ mimi sio msukuma bhna
Mzee wa kupambania njoo uone ka ugali anakokula jamaa yako leo hapa kajikakamua kweli kweliπ
Yaani mshahara wa mtu ukatumia usiku mmoja tu.Hivi hapa sio Dar Es Salaam Serena Hotel kweli?
Hapa ndiyo niliona matumizi ya ule Msemo Usiige kunya kwa tembo, Usiku mmoja tu ilipotea almost 725k π
Kutokea hapo nikapeleka Ombi kwa Madam President kuwa sisi wastaafu tuongezewe Pension ya Kila Mwezi π€ͺ
Naomba unipeleke na mimi siku moja bossYaani mshahara wa mtu ukatumia usiku mmoja tu.
Hapo ni Slipway
Hapana aiseeNionueshe ugali wa mwanaume πππ mimi sio msukuma bhna
Me mwenyewe nilipelekwa bossNaomba unipeleke na mimi siku moja boss
Ase ngoja tu nikalele kidogo sure yaani nimeshiba sana af uho igali mwingi sanaMzee wa kupambania njoo uone ka ugali anakokula jamaa yako leo hapa kajikakamua kweli kweliπ
Hapa hata push up 5 zinapatikana kweli??
Mbona kupelekwa tenaaMe mwenyewe nilipelekwa boss
ππ aliniambia hapendi pichaMbona umemcrop sana
NdiwoooooooMbona kupelekwa tenaa
Ni mzee sana? πππππ aliniambia hapendi picha
Me mwenyewe nilipelekwa boss
Ni wa makamo πNi mzee sana? πππ
Kwanini aogope camera? Ana matatizo ganiNi wa makamo π