Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Hauna hata manyoya mkono soft wa kulia chips na tambi 🤔🤣Mzee wa kupambania angalia vizur uhu ni mwli wangu sijakonda bhna uzito 75
Hauna hata manyoya mkono soft wa kulia chips na tambi 🤔🤣Mzee wa kupambania angalia vizur uhu ni mwli wangu sijakonda bhna uzito 75
Sitaki 😂😂Hahahaa tupia tena ile ya jana
Johnnie Walker kuna ujumbe wako huku 😀yatamkuta punde tu
Manyoya utayapa kwa kengeHauna hata manyoya mkono soft wa kulia chips na tambi 🤔🤣
Uyo dogo muache atapigika mwambie nakaa wapi?Johnnie Walker kuna ujumbe wako huku 😀
Watoto wa Sinza hamna maajabuUyo dogo muache atapigika mwambie nakaa wapi?
😄😄😄😄🙈Kwanini lakini 😂😂😂
Kwanini unamchezea samaki hivyo!!
Leo tupo na boss
Wapi attachment? 🙈😂😂
Nani kasema wewe uko salasala mmezubaa sanaWatoto wa Sinza hamna maajabu
aisee aisee nikirudi nitajitahidi nijionee live 😂






We unaita BMW, me naita Bimmer wewe
Carrasco NjooKubadilisha jina kidogo tu ID yangu ya [mention]Carrasco [/mention] imeibebwa fasta sijapenda
[mention]Carrasco [/mention] jiheshimu
Mods angalieni hili [mention]Moderator [/mention] [mention]Briger [/mention] [mention]Active [/mention]
Depal dimpo.
Tulioikuza Sinza ndo tumehamia huku tumeamua kuwaachia fujo hukoNani kasema wewe uko salasala mmezubaa sana
UmeanzaDada samahani naomba nikuulize, samahani lakini..
