Dogo uko vizuri😍
Peke yako ndio umenisifia 😂😂Dogo uko vizuri😍
dah, yote haya yote si bure 😂Totoo umeshapasi uniform za kesho?
Umekula Dickies mwenyewe 👊🏾👊🏾👊🏾
Ahaha nisamehe ase ila zimebaki njoo ukuleUmekula Dickies mwenyewe 👊🏾👊🏾👊🏾
Kwanini lakini 😂😂😂Huu hapa 😁View attachment 2613780
Wee ni msomali?
Si sababu hujaweka ile yenye mabring bringPeke yako ndio umenisifia 😂😂
mi ni mchaga pure...Wee ni msomali?
Umefanana na rafkki angumi ni mchaga pure...
😂😂😂 kwahiyo ujaipenda? 😂😂Si sababu hujaweka ile yenye mabring bring
sasa mbona nakataliwa jamani?? 😂Umefanana na rafkki angu
Chotara wa kichaga 😂😂
Ana nyusi nyingi km hizo
na mimi naomba uweke ile yenye aifoni😂😂😂😂 kwahiyo ujaipenda? 😂😂
😂😂😂 thithubutuna mimi naomba uweke ile yenye aifoni😂
Kukataliwa huko ni matatizo yakosasa mbona nakataliwa jamani?? 😂
6. Anavimbia hela za shemeji 😄1. unanyonya lips
2. una aifoni
3. unashindia tambi
4. hupendi ugali, wali maharage
5. unataka kuseleleshwa na lishangazi...
BADILIKA.
Hayo ni yangu, labda aje Mzee wa kupambania aongezee 😂
yatamkuta punde tu6. Anavimbia hela za shemeji 😄
7. Anashindia chips
Hahahaa tupia tena ile ya janaAhahaah ni mwili wangu bhna mkuu acha izo