Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,421 mshamba_hachekwi said: jikaze, narudia tena jikaze π Click to expand... Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani?
mshamba_hachekwi said: jikaze, narudia tena jikaze π Click to expand... Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani?
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 7, 2023 #326,422 Johnnie Walker said: Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani? Click to expand... ugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepotea
Johnnie Walker said: Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani? Click to expand... ugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepotea
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 May 7, 2023 #326,423 Antonnia said: Shukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku Click to expand... Oiiii national anthem nimeskia kafiliwa na wanawe wale mapachaaa
Antonnia said: Shukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku Click to expand... Oiiii national anthem nimeskia kafiliwa na wanawe wale mapachaaa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,425 mshamba_hachekwi said: ugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepotea Click to expand... My professional ni health so huwa nazingatia sana mlo sipotei ase ugali nakula ila sio mara kwa mara Unajuwa kuwa wali maharagwe unasababisha kunuka mdomo?
mshamba_hachekwi said: ugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepotea Click to expand... My professional ni health so huwa nazingatia sana mlo sipotei ase ugali nakula ila sio mara kwa mara Unajuwa kuwa wali maharagwe unasababisha kunuka mdomo?
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 May 7, 2023 #326,426 Dr Lizzy said: View attachment 2613646 Click to expand... ππππ Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu
Dr Lizzy said: View attachment 2613646 Click to expand... ππππ Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 May 7, 2023 #326,427 Johnnie Walker said: Dr Lizzy napika tambi leo maisha ya ubachela sio poa dah si nihamie kwako Click to expand... Njoo usaidie saidie kazi. π Ila mbona hiyo tambi nyingi sana?????
Johnnie Walker said: Dr Lizzy napika tambi leo maisha ya ubachela sio poa dah si nihamie kwako Click to expand... Njoo usaidie saidie kazi. π Ila mbona hiyo tambi nyingi sana?????
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,428 Dr Lizzy said: View attachment 2613646 Click to expand... Soon nahamia kwako
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 7, 2023 #326,429 Johnnie Walker said: Ugali sipendi uongo mbaya sipendi ππ Click to expand... Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto π€£π€£π€£
Johnnie Walker said: Ugali sipendi uongo mbaya sipendi ππ Click to expand... Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto π€£π€£π€£
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,430 Dr Lizzy said: Njoo usaidie saidie kazi. π Ila mbona hiyo tambi nyingi sana????? Click to expand... Saa Mbili nakula af saa nne nakula tena na asubuh nabeba kazini
Dr Lizzy said: Njoo usaidie saidie kazi. π Ila mbona hiyo tambi nyingi sana????? Click to expand... Saa Mbili nakula af saa nne nakula tena na asubuh nabeba kazini
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 7, 2023 #326,431 Johnnie Walker said: Unajuwa kuwa wali maharagwe unasababisha kunuka mdomo? Click to expand... unajua kazi ya mswaki?? π
Johnnie Walker said: Unajuwa kuwa wali maharagwe unasababisha kunuka mdomo? Click to expand... unajua kazi ya mswaki?? π
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 7, 2023 #326,432 Johnnie Walker said: Hakuna mwenye ubavu uho Click to expand... Kama shoo zako mbovu utagongewa sana
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,433 Mzee wa kupambania said: Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto π€£π€£π€£ Click to expand... Unataka kusema nimekonda?
Mzee wa kupambania said: Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto π€£π€£π€£ Click to expand... Unataka kusema nimekonda?
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 7, 2023 #326,434 Johnnie Walker said: Unataka kusema nimekonda? Click to expand... NAKAZIA
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,435 mshamba_hachekwi said: unajua kazi ya mswaki?? π Click to expand... Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uho Usipende kula chakula Cha wanga na protini
mshamba_hachekwi said: unajua kazi ya mswaki?? π Click to expand... Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uho Usipende kula chakula Cha wanga na protini
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,436 Mzee wa kupambania said: NAKAZIA Click to expand... Ahahaah ni mwili wangu bhna mkuu acha izo
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 May 7, 2023 #326,437 ye34nbe said: ππππ Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu Click to expand... Na nyie simnafaidi huko kwenu??π€
ye34nbe said: ππππ Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu Click to expand... Na nyie simnafaidi huko kwenu??π€
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 7, 2023 #326,438 Johnnie Walker said: Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uho Usipende kula chakula Cha wanga na protini Click to expand... utachapiwa sana.... tambi??
Johnnie Walker said: Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uho Usipende kula chakula Cha wanga na protini Click to expand... utachapiwa sana.... tambi??
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,439 mshamba_hachekwi said: utachapiwa sana.... tambi?? Click to expand... Mzee sijawai chapiwa mnajidanganya sana ase
mshamba_hachekwi said: utachapiwa sana.... tambi?? Click to expand... Mzee sijawai chapiwa mnajidanganya sana ase
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 7, 2023 #326,440 Mzee wa kupambania angalia vizur uhu ni mwli wangu sijakonda bhna uzito 75 Attachments 28356B8D-46F2-4216-A3F0-3575954DDCD0.jpeg 1.2 MB · Views: 7